Wednesday, March 11, 2009

Kuna nini Manzese?


JULAI mwaka 2006 aliyekuwa Rais wa Benki ya Dunia, Paul Wolfowitz alikuja Tanzania, miongoni wa maeneo aliyotembelea ni Manzese, Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Kimataifa(IMF), Dominique Strauss-Kahn yupo Tanzania, naye kaenda Manzese.

Nakumbuka Wolfowitz alipokwenda pale alizindua kisima cha maji, Kahn kaenda kufanya nini? hakukuwa na maeneo mengine ya kumpeleka? kuna nini Manzese?

No comments:

Post a Comment