Wednesday, April 2, 2014

Nukuu ya leo

"Nasema hizi ni kodi zenye kero, wabunge sheria mnazitengeneza wenyewe, katika eneo hili la kodi naomba zifuteni ili muwape ahueni wananchi wenu, haiwezekani mama anauza ndizi zake, hata yeye mwenyewe hajapata fedha nyie mnamdai, atajikimu vipi na maisha, na atawasomeshaje watoto wake?” 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.

No comments:

Post a Comment