Sunday, May 27, 2012

Breaking News- Vurugu kubwa Zanzibar

KUNA vurugu kubwa katika maeneo ya darajani na Michenzani visiwani Zanzibar.

Vurugu hizo zinadaiwa kusababishwa na wafuasi wa kikundi cha uamsho na hadi sasa watu wanapigwa kwa virungu, na polisi pia wanatumia mabomu kuwatawanya.

Vurugu hizo zilianza jana usiku, na hadi sasa barabara katika maeneo kadhaa mjini Zanzibar zimefungwa.

Kuna taarifa kwamba, kanisa la Asembless Of  God zimechomwa moto, na pia magari kadhaa likiwemo la Askofu wa Kanisa hilo yamechomwa moto. 


2 comments:

  1. Ndipo hapo shida inapoanza sasa hilo kanisa limeingizwaje kwenye hilo balaa mpaka gari la mtumishi wa Mungu kuchomwa moto,in maana hata huyo kiongozi wa uamsho ambaye naamini ni sheikh ameshindwa kuwajaza wafuasi wake elimu juu ya umuhimu wa nyumba za ibada lakini pia watumishi wa mungu ni kina nani mpaka ifikie hatua ya kumchomea mchungaji gari.Huu nauita ujinga na kama sio tusi ni upumbafu pia wa kuhusisha suala la vurugu za muungano na kukataa tume ya katiba pamoja na kanisa.Watasambalatishwa

    ReplyDelete
  2. Thank you for sharing your thoughts. I truly appreciate your efforts and
    I am waiting for your next write ups thank you once again.
    Check out my webpage :: pikalainax

    ReplyDelete