Friday, October 28, 2011
Kopa kupagawisha London
Anayetajwa kuwa ni malkia wa muziki wa Taarab nchini Tanzania, Khadija Omar Kopa amewasili London Uingereza kwa ajili ya shoo ya kufa mtu kesho Jumamosi (Okt 29,2011) katika ukumbi wa Milton Keynes.
Picha kwa hisani ya Blog ya Vijimambo.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment