Monday, September 5, 2011
Beyonce anajiandaa kuwa mama
Mwanamuziki Beyonce siku alipotangaza kuwa ni mjamzito.
Beyonce na mumewe, Jay Z wapo mapumziko nchini Italia ikiwa pia ni sehemu ya sherehe ya mama mtarajiwa kutumiza umri wa miaka 30.
Beyonce akiwa na baba yake mzazi, Mathew Knowles.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment