"Wote tunajua wazi kwamba chama chetu kimeingiliwa vibaya sana na tatizo kubwa la rushwa katika chaguzi zake, hilo halifichiki hata kidogo...jambo la msingi kuzingatia ni kwamba sera ya chama chetu ni kupambana na rushwa na siyo kuikumbatia" Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Pius Msekwa, Novemba 17, 2007
No comments:
Post a Comment