Tuesday, August 11, 2009

Mkenya anataka kumuoa mtoto wa Clinton

Chelsea, Mtoto pekee wa Rais Mstaafu wa Marekani, Bill Clinton na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Hillary Clinton

Chelsea akiwa na wazazi wake

Chelsea na mama yake

Mama na mwana

Mtoto wa wazazi

KATIKA hali isiyotarajiwa, raia wa Kenya,Godwin Kipkemoi Chepkurgor amemuandika barua Clinton na mkewe, Hillary akieleza nia ya kutaka kumuoa binti wao, Chelsea.
Chepkurgora ana mke mmoja, yupo tayari kutoa ng'ombe 20 na mbuzi 40 ili awe mume wa msichana huyo.
Agosti 5 mwaka huu, mke wa Clinton alimweleza mwanaume huyo kwamba, hawezi kutoa jibu la barua hiyo ya mwaka 2000 kwa kuwa Chelsea anafanya uamuzi wa mambo yake.
Mwanaume huyo amesema, alipomuona Chelsea miaka kadhaa iliyopita alimpenda na ameamua kumuoa.
Amesema, hajakata tamaa, anaendelea kusubiri, na kapania kufanya bonge la harusi.
Hata hivyo kuna nyepesi kwamba, Chelsea na 'king'asti' wake, na wanajiandaa kufunga ndoa.
Soma zaidi hapo chini
A Kenyan man's offer of 40 goats and 20 cows for Chelsea Clinton's hand in marriage may still be on the table – and Hillary Rodham Clinton has promised to convey the "very kind offer" to her daughter.

To laughter at a town hall meeting Thursday in Kenya, CNN's Fareed Zakaria asked the U.S. Secretary of State if the Clintons had made a decision on the dowry offer.
In 2000, a Kenyan man wrote to then-president Bill Clinton offering the animals in accordance with African tradition.

After a pause, Clinton said, "My daughter is her own person, very independent, so I will convey this very kind offer."

Clinton has denied rumors that her daughter, 29, is planning to get married this summer.

No comments:

Post a Comment