Thursday, March 12, 2009

Mke wa Tsvangirai azikwa


WAZIRI Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai akiwa na waombolezaji wakati wa mazishi ya mkewe, Susan.
Mke wa kiongozi huyo alikufa Ijumaa jioni baada ya gari, Toyota LandCruiser kugongana na lori na kisha kupinduka mara tatu.
Waziri Mkuu wa Zimbabwe alikuwa akiendesha gari hilo akiwa na mkewe, hawakuwa na escort wala walinzi.

No comments:

Post a Comment