
Picha kwa hisani ya Issamichuzi.blogspot.com
MMOJA wa watunzi mahiri wa bendi ya Ottu Jazz Band 'Wana msondo ngoma', Joseph Maina amekufa jana Dar es Salaam wakati akienda Studio Oysterbay jijini humo.
Kiongozi wa bendi hiyo, Muhidin Ngurumo amesema marehemu ameacha mtoto mmoja wa kiume na watatu wa kike. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amen
HILI NI PINGO JINGINE KWA HII BENDI NA TAIFA KWA JUMLA. MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA. MSALIMIE MUSHI WILLIAM!
ReplyDelete