Saturday, February 14, 2009

Eneza upendo si virusi vya ukimwi





KUNA watu wana imani potofu kuwa siku ya Wapendanao ni siku maalum ya kujamiiana duniani, washindwe na walegee.


Kama utashindwa kujizuia kufanya ngono leo tafadhali jilinde, huwezi kumtambua mwenye VVU kwa kumtazama kwa macho, Tanzania bila ukimwi inawezekana

No comments:

Post a Comment