Sema wangu ni aje? huyo dada mbona anaonekana mwenye mawazo sana na wasiwasi mwingi wakati huo mzee wa maisha unatabasamu? au dili ilikuwa imetiki? halafu unaonekana uketoroka ofisini muda wenyewe ni saa saba mchana! unaizungumziaje hiyo? Nawakilisha.
duhh kama tangazo la mobitel, yaani jamaa unamuumiza mtoto watu na kisha unatabasamu unasahau moyo unauma mpaka mtu anajiwekea kipoozeo.. duhh mshikaji
Sema wangu ni aje? huyo dada mbona anaonekana mwenye mawazo sana na wasiwasi mwingi wakati huo mzee wa maisha unatabasamu? au dili ilikuwa imetiki? halafu unaonekana uketoroka ofisini muda wenyewe ni saa saba mchana! unaizungumziaje hiyo? Nawakilisha.
ReplyDeleteduhh kama tangazo la mobitel, yaani jamaa unamuumiza mtoto watu na kisha unatabasamu unasahau moyo unauma mpaka mtu anajiwekea kipoozeo.. duhh mshikaji
ReplyDelete