Wednesday, June 29, 2011

Chelsea kuvuliwa gamba

Andre Villas- Boas (33) leo amezungumza kwa mara ya kwanza akiwa kocha wa matajiri wa London, Chelsea, na kusema hataki kuitwa Special One, yeye ni Group One.

ANDRE VILLAS-BOAS signalled his arrival at Chelsea by declaring: I'm the Group One.


The Portuguese boss,33, was quick to shrug off his tag as the 'mini-Mourinho' at his unveiling this morning.

And in a dig at his former mentor Jose Mourinho, known as the Special One, he said: "This is not a one-man show.


"Maybe I should be called the Group One. I want to group people together."

Mourinho's dull style of football was one of the factors that cost him his job in 2007 — despite leading Chelsea to back-to-back Premier League titles in 2005 and 2006.


But Villas-Boas, who was an assistant at Stamford Bridge during that era, insisted: "It's not just a case of winning, it's a case of flair.


"Everyone likes attacking football and the Premier League has a certain amount of goals in every game.


"It should be an entertaining game for the fans and that is what we will look to do."

Villas-Boas knows he must bring glory to the Blues after Carlo Ancelotti was ruthlessly axed at the end of the season.

"Of course, the contract is a three-year contract and the expectations of the club are to the maximum.


"There's no doubt about it there is a compromise with a certain amount of trophies.

"That's the challenge we face on a day-by-day basis not only in the football business.


"But everyone wants to thrive to be the best and win something, be successful and I know I'm at a club that's wants to be successful every year.

"Those are the challenges for me — to win as soon as possible and build a solid platform for the future.

"It's nothing different from any other top club with the challenges you face in your day-to-day life."

But overall, he says he is pleased with the standard of the players at Stamford Bridge — and John Terry will remain as captain.


"As I said in my first interview, I'm more than happy with the actual squad.

"It's nothing new when a new manager comes, radical changes are expected.


"I think bearing in mind the changes that have been made at the club in the last six or seven years, we have to make some big decisions.


"I'm counting on everybody from last year to make the best decisions.


"We have plenty of time to judge the market and see what is value for the team in the end.
"There is no fuss in the changes that we are going to make.

"The players need to feel important because they are important.


"They are top quality players and I want them back as soon as possible to get started as soon as possible."

Villas-Boas will go head-to-head with Manchester United manager Alex Ferguson for the Premier League crown next season.


He is 36 years younger than the Scot — but Villas-Boas does not see that as a big issue.


"It's not just a question of me taking on Sir Alex, it's a question of a top club like Chelsea challenging for the title again.

"Last year, we ended up on a very good run to threaten for the title in the last couple of games.


"It's all part of the empathy I want to create with the players, to challenge them and challenge their motivation to be successful.

"It's not just one man against the others, it's trying to build something with them to make us powerful and threaten for titles."


Villas-Boas also expects his new players to show him respect, despite some of the senior members of the squad being older than him.


The Portuguese added: "It's normal for people to judge my age because it all happened at a very young age for me.


"I started my career at 18. It's something I take normally. I think players are professional enough to respect the manager."

Beyonce anataka mtoto

Mwanamuziki maarufu na mwenye mvuto, Beyonce Knowles (29) akikamua kwenye stage.

Beyonce amesema katika mahojiano na kituo cha CNN cha Marekani kuwa, aliwahi kusema kuwa, angependa kupata mtoto akiwa na umri wa miaka 30, hivyo hawezi kuendelea kusubiri, huu ni muda mwafaka kwake kuwa mama.


Beyonce akiwa matembezini
Mume wa Beyonce, mwanamuziki maarufu, Jay- Z

Beyonce kasema, hawahi kuwa crazy a.k.a kupagwa kwenye malavi davi lakini kwa Jay- Z kafika!

The singer, 29, confessed that she's looking forward to turning 30 in September, and even admitted that she has always wanted to have a baby at that age.


"I can't wait! 29 is very strange," she says. "You're still in your 20's but you feel like you're supposed to be 30, and I feel like a woman. I feel like I'm very aware of who I am... I feel great and I feel like 30 is the ideal age."


When Piers Morgan alludes to motherhood, Beyonce says, "I always said I'd have a baby at 30. I'm 29, but I also said I was going to retire at 30... who knows. I'm not retiring."


“Jay and I have kind of made a decision that we want to be known for our music and not our relationships or scandals.


“We’ve been together for a very long time and I’m very happy...”


She added: “I’ve not been crazy in love many times in my life but I definitely have a natural friendship and connection with him.
“I’m very happy.”

Papa azindua portal ya Vatican

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa 16 akizindua tovuti ndogo (portal) ya makao makuu ya kanisa hilo, Vatican.

Pope Benedict XVI has launched the portal, www.news.va, with a papal click on Wednesday, the 60th Anniversary of his ordination as a priest.


The portal is the newest attempt in a series of endeavours by the Vatican - including the launch of a YouTube Channel, a Facebook page and iPhone app guiding Catholics through the sacrament of confession - to spread the Holy Word through the Internet to a wider audience.


The portal will aggregate the main news of every department and will be updated thrice a day.


“I think that we must educate the Roman Curia of what is the real meaning of communication,” said Claudio Maria Celli, head of the Pontifical Council for Social Communications, the Vatican office responsible for the development and maintenance of the site.


While the portal will initially offer two languages, English and Italian, the Vatican plans to add German, French, Spanish and Portuguese versions to the website over time. The Vatican may also add a search function and a distinct link to the Vatican homepage.


Although the portal is primarily intended as an easy-to-access source of Vatican news for the outside world, Celli also hopes it was serve the dual function of improving communication within the Vatican.


The Papal Office has recently been beleaguered by miscommunications, with the Pope’s recent comments about condoms and HIV requiring three official clarifications.

Moto wa waua mume, mke, watoto 2

WATU wanne wa familia moja wakiwemo baba na mama wa familia wamekufa kwa kuungua moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala mkoani Tabora.


Nyumba hiyo iliteketea kwa moto Jumatatu, saa mbili usiku katika kijiji cha Ipululu, kata ya Igalula, wilayani Uyui.


Diwani wa kata ya Igalula, Said Kapalu amesema moto huo uliolipuka ghafla ulienea kwa haraka na kusababisha vifo vya mke na mume papo hapo.


Amesema, watoto wao wawili wa wanandoa hao walifariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Tabora, Kitete.

Amewataja walioaga dunia kuwa ni baba wa familia hiyo, Sango Abel na mke wake, Neema Hamad pamoja na watoto Mariam Sango na Twabi Sango.

Kwa mujibu wa diwani huyo, chanzo cha moto huo ni kulipuka kwa dumu lililokuwa limehifadhi mafuta aina ya petroli.


Kamanda wa polisi wa mkoa wa Tabora, Liberatus Barlow amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.


Mganga Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Dk Masudi Lifoba, alisema watu hao walikufa kutokana na majeraha makubwa ya moto.


Diwani Kapalu amesema, baada ya mafuta hayo kulipuka na nyumba kuanza kuwaka moto, watoto hao walifanikiwa kujiokoa kwa kutoka ndani ya nyumba hiyo, lakini nguo walizokuwa wamevaa ziliendelea kuwaka.


Alisema, wasamaria wema walijitahidi kuwaokoa kwa kuzima moto uliokuwa umeshika mavazi yao, lakini tayari walikuwa na majeraha makubwa kutokana na kuungua vibaya katika sehemu mbalimbali za miili yao.


“Baada ya kuzima moto uliokuwa unawaka kwa kasi kwenye miili ya watoto, ilibidi wawakimbize haraka kwenda hospitali ya Kitete lakini kwa bahati mbaya, baadae walifariki,”alisema Kapalu.


Alisema wananchi kwa ushirikiano waliweza kuudhibiti moto uliokuwa ukiwaka na kuweza kuiokoa nyumba isiungue ingawa mali mbalimbali ziliteketea kabisa kwa moto.


Baadhi ya wakazi wa kata ya Igalula hujishughulisha na biashara isiyo rasmi ya kuuza petroli, ambapo huifadhi mafuta hayo ndani ya nyumba zao hivyo kuhatarisha maisha yao.


Baadhi ya wananchi wa kijiji hicho walisema familia iliyoteketea kwa moto ilikuwa miongoni mwa nyingine za kijiji hicho ambazo hujihusisha na biashara ya aina hiyo.


Walidai si rahisi kwa familia nyingi kijijini hapo kuacha biashara hiyo kwa sababu ndiyo wanayoitegemea kupata kipato.

Halima Mdee amuonya Mwenyekiti wa Bunge


Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, akifurahia jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.


MBUNGE wa Kawe (Chadema) Halima Mdee jana alimtolea uvivu Mwenyekiti wa Bunge, Sylivester Mabumba kwa kumweleza kuwa akiendesha mjadala kwa ushabiki kiti cha Spika kitamshinda.


Mvutano kati ya Mdee na Mabumba jana jioni ulisababishwa na kauli za Mbunge wa CCM, Zarina Madabida kusema wanaopinga posho za wabunge
(sitting allowance) wanataka chama chao kiwafidie fedha hizo.


Kauli ya Mbunge huyo ilisababisha Mdee asimame akaomba
mwongozo.


Madabida alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi za Waziri Mkuu ya mwaka 2011/12 jana na bila kukitaja chama hicho alisema kama kina dhamira ya kweli ya kukataa posho hizo kwanini wabunge wake wanataka kufidiwa
posho hizo na chama.


“Mwenyekiti hizi posho ni muhimu, mimi leo nikienda Dar es Salaam akinamama nakwenda kuwasaidia na hizi posho,” alisema Madabida.


Baada ya Madabida kumaliza kuchangia hotuba hiyo na kukaa chini, Mdee aliomba mwongozo wa mwenyekiti huku akitaja kanuni ya bunge inayomtaka Mbunge asiseme uongo na endapo atasema jambo hilo atatakiwa alithibitishe.


Lakini kabla hajamaliza kukifafanua kifungu hicho, Mabumba alimtaka Mdee akae chini, lakini Mbunge huyo kabla ya kukaa alisita kwa sekunde kadhaa halafu akakaa.


Mabumba alimweleza Mdee kwamba, Madabida wakati akizungumza hakutaja chama chochote na endapo angekitaja chama hicho ndio angetakiwa kuthibitisha.


Baada ya ufafanuzi huo, Mdee alinyanyuka na kusema kwamba chama kinachopinga posho ni Chadema na NCCR-Mageuzi.

“Kwa implication, Mheshimiwa Madabida alikuwa anavilenga vyama hivi… Mwenyekiti usikikalie kiti kwa ushabiki, kitakushinda,” alisema Mdee.


Hata hivyo kabla hajaketi, ilisikika sauti ndani ya bunge ikisema “Jumamosi mligombea posho’’ hatua iliyomfanya Mdee kumtaka mwenyekiti huyo wa Bunge amlinde.

Mbunge- Kuna mambo ya kihuni serikalini

Spika wa Bunge, Anne Makinda, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Hawa Ghasia nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.



Mbunge wa Kasulu Mjini mkoani Kigoma, Moses Machali jana alivutana na Spika wa Bunge, Anne Makinda, baada ya Mbunge huyo kusema bungeni kuwa, ndani ya Serikali kuna mambo ya KIHUNI yanafanyika.


Kwa mujibu wa Mbunge huyo, mwaka uliopita zilitengwa zaidi ya Sh6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Kidawe-Kasulu kwa kiwango cha lami lakini, fedha hizo hazijawahi kutolewa na kwamba hata katika bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2011/12 fedha hizo hazijatengwa.


“Kuendelea kuwaahidi wananchi wakati jambo lenyewe halijafanyika ni uhuni wa serikali.., inawafanyia uhuni watu wa Kigoma,”alisema Machali.

Kauli hiyo ilisababisha Makinda amuamuru Mbunge huyo atumie lugha nzuri anapochangia na aache kutumia neno ‘uhuni’.


“Barabara inaanza kujengewa Nyakanazi.., Nyakanazi sio Kigoma. Hivi Kigoma tumewakosea nini, Rais Kikwete alisema barabara itajengwa, lakini leo mmezihamisha fedha hizo sehemu nyingine, kama sio uhuni ni nini,”aling'aka Machali.


Kitendo cha Machali kurudia neno hilo kilisababisha Makinda amuonye tena Mbunge huyo na kumweleza kuwa akitumia neno ‘uhuni’ anaweza asisikilizwe na anaowapelekea ujumbe huo.


Mbunge huyo alionekana kutokubaliana na Spika kwa kujibu kuwa “Hata Shelukindo alitumia neno ‘kijingajinga’ na alikuwa akitulenga sisi wapinzani, sasa sisi wapinzani tukitumia maneno ya ukali tutahukumiwa, spika tuwe na 'check and balance' (kuangalia usawa)”.


Machali alikuwa akinukuu mchango wa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo (CCM), ambaye wakati akichangia bungeni alisema kumekuwa na wabunge wanaoingiza hoja za kijingajinga bungeni.


Machali aliweka wazi kwamba wabunge ni kama wamejivua uwakilishi wa wananchi kwa kuwa, wamekuwa mbogo dhidi ya hoja ya kufutwa kwa posho za vikao.


Alisema, maendeleo ya Tanzania hayalingani na umri wa miaka 50 ya Uhuru wake na kwamba, wananchi wa Tanzania hawana amani, bali wana utulivu ulioambatana na nidhamu ya woga.


“Siwezi kukubali kuwa kuna amani, wakati watu wanawaza watapata wapi mlo, polisi wanaendeleza vitendo vya kuwapiga raia kama wakimbizi ndani ya nchi yao, Serikali inakaa kimya na kusema mamlaka husika ziachwe zifanye kazi yake,”alisema.

Tuesday, June 28, 2011

Rihanna aanguka stejini wakati wa onesho

Picha ikionesha moja ya hatua za mwanamuziki kuanguka kwenye stage wakati anatumbuiza nchini Canada.

Rihanna may have quite justifiably asked 'What's My Name?' after face-planting floor in this embarrassing stage fall.


The Barbadian singer was appropriately singing the hit song as she took a tumble in front of thousands of fans.


The 23-year-old star was entertaining a 16,000-strong crowd in Edmonton, Canada, on her Loud world tour when she lost her footing.


Rihanna trips on stage as she performed her hit song What's My Name in Edmonton, Canada, last Wednesday, one of the stops on her Loud world tour.

However, ever the professional, the racy singer quickly sprung back into action as she tottered on dangerously high heels.


The Love The Way You Lie singer returned to Los Angeles yesterday, just in time to make it for the BET Awards after party.


However she arrived only to face more embarrassment, after it emerged an trophy at the show which had initially been awarded to her was actually given in error and should have gone to ex-boyfriend Chris Brown.


The farce started when television personality Tiffany Greene, along with 106 & Park hosts Terrence J. and Rocsi took to the stage to present the Viewers' Choice Award.
Greene look confused as she proclaimed the winner to be Chris Brown for his song


But then Terrence quickly stepped in an said: 'I'm sorry, it's Rihanna for What's My Name...


Rapper Drake, who collaborated on the track with Rihanna, then came to the stage to accept the award.


He said: 'This is awkward,' before making a short acceptance speech and leaving the stage.

However around 30 minutes later, at the end of the show, the main host Kevin Hart clarified the matter by saying Chris Brown was in fact the winner.

Nao wanataka nguo wavae

Jitahidi usiwe kama huyu

Kim Kardashian anatafuta nguo ya harusi yake

Nyota wa kipindi cha Reality TV, Kim Kardashian akitoka katika duka la mtu anayedaiwa kuwa ndiye atakayebuni nguo ya harusi ya star huyo, Vera Wang.




Kim Kardashian (30) akiwa na Vera Wang.


Kwa mujibu wa tovuti ya Zimbio na gazeti la Daily Mail la Uingereza, mama huyo kapewa jukumu la kubuni nguo ya harusi ya mdada huyo anayedaiwa kuwa ni mjamzito.

Aliwaambia ni birthday kumbe ndoa

Busu la maharusi

Tyson na mkewe, Lakiha wakifurahi baada ya kuapa kwa mara ya pili kuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe.

Tyson na Lakiha walioana miaka 3 iliyopita, wana watoto wawili, Milan (2) na Morocco Elijah Tyson (miezi mitano).


Mike Tyson na familia yake

Mke wa pili wa Tyson, Monica Turner


Mke wa kwanza wa Mike Tyson, Robin Given


ALIYEKUWA bondia wa uzito wa juu duniani, Mike ' Iron' Tyson amerudia kiapo cha ndoa, ni mara ya nne anafanya hivyo.


Lakiha ni mke wa tatu wa Tyson.


Soma hapo chini


Mike Tyson has said 'I do' for the fourth time, but the thrice married former boxer was simply renewing his vows on this occasion.


The erstwhile Heavyweight champion and Lakiha Spicer Tyson surprised hundreds of guests who had come to Las Vegas in the belief that they were attending a joint birthday party, by turning it into a wedding.


As soon as all the guests had arrived at the party, held at Sin City's M resort, Mike and Lakiha disappeared behind a curtain, then reappeared in wedding outfits.


The couple, who have been married for three years, then reaffirmed their vows in a traditional Muslim ceremony, according to TMZ.


The reason for the belated party is thought to be because the couple's original Vegas wedding took place ten days after the tragic death of Mike's four year old daughter, Exodus, and was a very small, intimate affair
with no guests and no celebration party.

Exodus, was found by her seven-year-old brother, Miguel, unconscious and tangled in a cord dangling from an exercise treadmill, the child's mother untangled her, administered CPR and called for medical attention but
she later died of her injuries.


Shrouded in Mystery: Tyson and his wife surprised guests by inviting them to a joint birthday party that turned out to be a wedding

A spokesperson for the La Bella Wedding Chapel, where they originally married said at the time:


'The couple were very happy and sincere before saying their vows. They were very heartwarming, and I think they really do
love each other.'


In January, Mike and Lakiha welcomed their second child together, a baby boy they named Morocco Elijah Tyson.


They also have two-year-old daughter Milan together and Mike is father to five other children.


At their second wedding, guests were served a steak or chicken - though Tyson no longer eats meat - then partied until late in the hotel's ballroom with a live band.

Beyonce apagawisha mashabiki



Mwanamuziki maarufu duniani, Beyonce Knowles juzi usiku aliwapagawisha mashabiki wa muziki kwa show iliyokwenda shule kufunga tamasha liitwalo Glastonbury.





Mume wa mwanamuziki huyo, Jay- Z alikuwa miongoni mwa watu 170,000 waliokuwepo ukumbini kuona makamuzi ya Beyonce.



The hoped-for duet with Jay-Z might not have happened - but Beyoncé blew most of the doubters out of the water last night with her Bootylicious performance to close the Glastonbury Festival.


The star was watched by her rapper husband and friend Gwyneth Paltrow as well as 170,000 people on Worthy Farm in Somerset as she tore through an impressive hour-and-a-half set.


Wearing just black hotpants and a gold belted jacket with her hair blowing curly and free in the evening breeze, she appeared at times overcome with emotion at the reception she was given.

Giggis na mkewe pamoja kama kawa

Mshambuliaji mkongwe wa klabu ya Man United ya England, Ryan Giggs akiwa matembezini na mkewe, Stacey.


Picha hiyo inaonesha kuwa bado wapo pamoja hata baada ya nyota huyo wa soka kukumbwa na kashfa za kuisaliti ndoa yao ikiwa ni pamoja na kula uroda a.k.a kuchakachuana a.k.a kupiga show na shemeji yake (mpenzi wa mdogo wake).

Saturday, June 25, 2011

Oprah Winfrey apewa udaktari, amwaga machozi

Oprah Winfrey (57)


A central South African university, known for fraught race relations, awarded an honorary education doctorate to Oprah Winfrey yesterday.


The 57-year-old chat show host cried as she listened to a speech about the progress of race relations in the country before accepting her award from the University of Bloemfontein.


Wearing an bright red and blue traditional graduation cap and gown, Oprah sat in the audience and listened throughout the ceremony which was arranges specifically to honour the American star.

Askofu Tutu, Michelle Obama kimazoezi zaidi

Umewahi kumuona Mke wa Rais anapiga pushapu? Mke wa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle (wa kwanza kulia) kwake ni kitu kidogo, kaonesha namna alivyo fiti.


Swali lingine, i lini umemuona Askofu anapiga pushapu? huyo wa pili kushoto ni Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini.
Askofu Tutu na Michelle alikwenda kuwatembelea watoto jijini Cape Town kuhamasisha wafanye mazoezi na kusisitiza mapambano dhidi ya Ukimwi.



Michelle na Askofu Tutu kila mara ilikuwa ni vicheko tu.



Lakini Askofu unaweza? haya twende, tushikane mikono

Mlikuwa mnamsikia tu, sasa si mmemuona live?

Michelle-Mimi hata soka naweza

Yaani imetulia, nipe tano Baba Askofu!



Yaani ingekuwa hapa bongo wangeimba wimbo wa akina Chege, Mikono yote weka juu, au wimbo wa Dully Sykes, badala ya kusema bongo fleva naiweza, wangesema mazoezi mi nayaweza ndiyo maana kila siku naringa mamaaa!





Haya gongaa

Babu naona kachoka





Her toned arms have made her the envy of women around the world.


And today Michelle Obama appeared to reveal the secret behind her sculpted biceps, but perhaps surprisingly to Archbishop Desmond Tutu.


On the final day of her visit to South Africa, the First Lady met with the Nobel Peace Prize laureate at Cape Town Stadium where they took part in an event to encourage exercise and raise awareness of HIV prevention.Scroll down for video


Inside the stadium, built for last year's World Cup, the First Lady got down on the floor and showed off her workout moves to the retired 79-year-old who seemed keen to join in.


After their workout, Mrs Obama and Archbishiop Tutu congratulated each other with a fist-bump.


The pair then took to the pitch where they dribbled balls with local youth groups.


The First Lady is on the last leg of a South African tour that has honoured the icons of the country's struggle against apartheid before she moves on to neighbouring Botswana.


Mr Tutu, the former Anglican archbishop of Cape Town, won the Nobel Prize in 1984 for his non-violent struggle against the racist government. He has been called the conscience of the nation.


Earlier the super-fit First Lady had been asked, 'How do you get Barack to believe he's in charge?' by a mischievous reporter.


Michelle Obama immediately burst into laughter and said: 'A good man is happy with a strong woman. She added:


'That's why I fell in love with Barack. I met him way before he was President and he was just so comfortable with himself and he accepted me with all my... stuff.'


Michelle Obama put on a brave face earlier after she was forced to cancel a visit to Robben Island prison because of high winds.


The U.S. First Lady was due to travel to the island - where Nelson Mandela was imprisoned for 18 years - by ferry, but the bad weather made the seas off Cape Town too treacherous to cross.